Kiwanja kinauzwa

Kiwanja kinauzwa - Tanzania

Type de Transactionsell

Superficie3000 m2

Weka maudhui :

Kiwanja kilichopo barabarani ambacho kimepakana na petrol station ya Panoni barabara kuu ya kwenda Mtwara,na Lindi sasa kinauzwa.
Kiwanja hicho kinafaa kwa kujenga Kiwanda kidogo,Chuo,Bank,Hospitali, kituo cha kuuza mafuta,nyumba ya kulaza wageni,mabweni ya kulaza wanafunzi,ama Complex .
Kwenye kiwanja hiki kuna mazao yafuatayo,
minazi 15,mienbe 4,Mifenesi 2 na mananasi zaisi ya 30

Vidokezi vyetu vya usalama

  • Matangazo yaliyo na neno "Duka" yametolewa na Jumia Deals.
  • Epuka kulipa chochote kabla ya kuonyeshwa bidhaa
  • Epuka kutuma pesa kwa njia zisizofuatilika kama vile Western Union au Pesa za Simu
  • Tazama kabisa unachokinunua, uhakikishe kuwa liko katika hali iliyotajwa kwenye tangazo
  • Kama muuzaji hana duka, kutane naye mahali pa umma (Mall, kituo cha gesi, mahali pa kazi ...)
  • Usipatiane maelezo yoyote ya kibinafsi (maelezo ya benki, nambari za kadi ya mkopo ...).
  • Jihadhari na bei zisizoaminika kuwa za ukweli.

Bidhaa gani unayo ya kuuza?

Uza kila kitu bure kupitia Jumia Deals.co.tz

Weka tangazo lako bure kuanzia sasa!
Tunasindika taarifa