Kirutubisho cha Trevo

Kirutubisho cha Trevo - Tanzania
  • Kirutubisho cha Trevo - Tanzania
Weka maudhui :

Trevo Trevo ni bidhaa kutoka Marekani yenye virutubisho vya asili 174.Imetengenezwa kwa kuzingatia kanuni bora za afya na kufikia uthibitisho wa hali ya juu .

Formula hii ya Trevo inakupa wewe na familia yako ladha nzuri na njia rahisi ya kurejesha afya bora na pia kulinda mwili wako na kuupa afya bora zaidi.
Trevo Inaimarisha

Ufahamu wa kiakili-mental focus
Kudhibiti uzito Afya ya moyo- Blood pressure and Heart health
Afya ya seli Afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula – digestion system
Afya ya mfumo wa neva za fahamu – nervous system
Afya ya mfumo wa kinga ya mwili -immune system
Afya ya mifupa na viungo Afya ya mfumo wa damu – blood circulation
Afya bora ya mwili mzima
Nishati ya kutosha mwilini Kuongeza nguvu mwili
Afya ya sukari damuni- Blood sugar level
Kusaidia wenye vidonda vya tumbo na magonjwa ya kina mama
Trevo imethibitishwa na ORAC,Cap-e ,Halal,Kosher,Vegetarian,na TFDA
Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa namba

Vidokezi vyetu vya usalama

  • Matangazo yaliyo na neno "Duka" yametolewa na Jumia Deals.
  • Epuka kulipa chochote kabla ya kuonyeshwa bidhaa
  • Epuka kutuma pesa kwa njia zisizofuatilika kama vile Western Union au Pesa za Simu
  • Tazama kabisa unachokinunua, uhakikishe kuwa liko katika hali iliyotajwa kwenye tangazo
  • Kama muuzaji hana duka, kutane naye mahali pa umma (Mall, kituo cha gesi, mahali pa kazi ...)
  • Usipatiane maelezo yoyote ya kibinafsi (maelezo ya benki, nambari za kadi ya mkopo ...).
  • Jihadhari na bei zisizoaminika kuwa za ukweli.

Bidhaa gani unayo ya kuuza?

Uza kila kitu bure kupitia Jumia Deals.co.tz

Weka tangazo lako bure kuanzia sasa!
Tunasindika taarifa