Kibaha kongowe viwanja kuanzia 400-800sqm

Kibaha kongowe viwanja kuanzia 400-800sqm - Tanzania
  • Kibaha kongowe viwanja kuanzia 400-800sqm - Tanzania

Type de Transactionsell

Superficie400 m2

Weka maudhui :

hi, am in need for money to invest in business. i am thus selling Registered plots of land situated at Kongowe Kibaha

KONGOWE KIBAHA; registered plots each with a title deed ranging from 400-800 sqm with a price ranging respectively (negotiable). the plots are ;located 1km from Morogoro road, services including health, electricity and water are accessible.

Habari, ninatafuta hela ya kuwekeza kwenye biashara hivyo nimeamua kuuza viwanja vilivosajiriwa (vyenye hati). viwanja vipo Kongowe kibaha na Kigamboni kimbiji.

KONGOWE KIBAHA; viwanja vyenye hati vyenye ukubwa kuanzia 400-800 sqm bei kuanzia ipasavyo (bei inashuka). viwanja vipo kilometer moja kutoka morogoro road. huduma za umeme, maji, na za kiafya zinapatikana kirahisi.

Vidokezi vyetu vya usalama

  • Matangazo yaliyo na neno "Duka" yametolewa na Jumia Deals.
  • Epuka kulipa chochote kabla ya kuonyeshwa bidhaa
  • Epuka kutuma pesa kwa njia zisizofuatilika kama vile Western Union au Pesa za Simu
  • Tazama kabisa unachokinunua, uhakikishe kuwa liko katika hali iliyotajwa kwenye tangazo
  • Kama muuzaji hana duka, kutane naye mahali pa umma (Mall, kituo cha gesi, mahali pa kazi ...)
  • Usipatiane maelezo yoyote ya kibinafsi (maelezo ya benki, nambari za kadi ya mkopo ...).
  • Jihadhari na bei zisizoaminika kuwa za ukweli.

Bidhaa gani unayo ya kuuza?

Uza kila kitu bure kupitia Jumia Deals.co.tz

Weka tangazo lako bure kuanzia sasa!
Tunasindika taarifa