Incubator na hydroponic fodder

Incubator na hydroponic fodder - Tanzania
Incubator na hydroponic fodder - Tanzania
Incubator na hydroponic fodder - Tanzania
Incubator na hydroponic fodder - Tanzania
Incubator na hydroponic fodder - Tanzania
 • Incubator na hydroponic fodder - Tanzania
 • Incubator na hydroponic fodder - Tanzania
 • Incubator na hydroponic fodder - Tanzania
 • Incubator na hydroponic fodder - Tanzania
 • Incubator na hydroponic fodder - Tanzania
Weka maudhui :

1.Tunatengeneza vifaa vya kutotolesha vifaranga vya umeme na mafuta ya taa.Bei zetu ni nafuu sana.mashine tunazotengeneza zipo zile zinazotumia mafuta ya taa peke yake kwa wale wafugaji wasiokuwa na umeme,zipo mashine za kutotoleshea vifaranga zinazotumia mafuta ya taa pamoja na umeme na zipo mashine zinazotumia umeme tu.Mashine zinazotumia umeme zote zina rekebisha joto automatically,yaani joto likizidi hujizima na joto likipungua hujiwasha.
Mashine hizi za umeme zipo zile zenye kugeuza mayai zenyewe(automatic egg turning) na zipo zenye kugeuza mayai kwa msaada wa mtu,ijapo mayai yote yatageuka kwa dakika tatu tu,mashine zetu zina mfumo wa pulley utakao wezesha mayai kugeuka bila kufungua mashine.
Mashine zetu ni zile zenye uwezo wa kutotolesha kuanzia mayai thelathini mpaka mayai elfu moja na mia tano.Bei ztu ni nafuu sana

2.tunafundisha jinsi ya kutengeneza chakula cha mifugo kwa njia za kihydroponic.hydroponic fodder ni mlo kamili na sio chakula cha ziada,kinaweza kutumika kulishia ndege kama kuku,kanga.bata nk pia utaweza kulisha wanyama kama ng'ombe,mbuzi,ngamia nk.Matumizi ya chakula cha kihydroponic yaani hydroponic fodder itamfanya mkulima aokoe zaidi ya asilimia hamsini ya gharama za chakula cha mifugo yake,pia tuna organic growth booster kwa ajili ya mifugo ambayo haina sumu na gharama yake ni nafuu sana..
3.tunafundisha jinsi ya kufanya artificial insermination in chicken(kupandisha matetea kwa mbegu bora bila ya kutumia jogoo)
4.tunafundisha jinsi ya kutofautisha jinsia za vifaranga kuanzia umri wa siku moja mpaka siku tatu,hii itamsaidia mkulima kukuza aina ya kuku anayoihitaji either vijogoo au vitetea
5.tunafundisha jinsi ya kuzalisha termite kwa haraka na kwa njia ya kisasa ili kuongeza kiasi cha protein kwa kuku wako na kuokoa gharama za ulishaji bila ya kutumia mashudu pia tunawafunza wakulima jinsi ya kutumia magots wanaopatikana kutokana na kinyesi cha kuku kwa njia salama zaidi bila ya kuathiri afya ya kuku na hivyo kuokoa gharama za chakula
6.pia tunauza aina mpya ya kuku wa kienyeji waitwao kuroiler kwa bei nafuu sana,zifuatazo ni sifa za kuku hao;moja wana kuwa harakaharaka,wanakuwa na uzito mkubwa,wanakula chakula chochote hawategemei chakula maalum ili watage,wanataga mayai mengi,makubwa na yenye ubora,kuku mmoja anaweza kutaga mayai kati ya mia na themanini mpaka mia mbili arobaini

Vidokezi vyetu vya usalama

 • Matangazo yaliyo na neno "Duka" yametolewa na Jumia Deals.
 • Epuka kulipa chochote kabla ya kuonyeshwa bidhaa
 • Epuka kutuma pesa kwa njia zisizofuatilika kama vile Western Union au Pesa za Simu
 • Tazama kabisa unachokinunua, uhakikishe kuwa liko katika hali iliyotajwa kwenye tangazo
 • Kama muuzaji hana duka, kutane naye mahali pa umma (Mall, kituo cha gesi, mahali pa kazi ...)
 • Usipatiane maelezo yoyote ya kibinafsi (maelezo ya benki, nambari za kadi ya mkopo ...).
 • Jihadhari na bei zisizoaminika kuwa za ukweli.

Bidhaa gani unayo ya kuuza?

Uza kila kitu bure kupitia Jumia Deals.co.tz

Weka tangazo lako bure kuanzia sasa!
Tunasindika taarifa