4900m² House in Lindi

4900m² House in Lindi - Tanzania
  • 4900m² House in Lindi - Tanzania

Type de Transactionrent

Nombre de pièces4

Superficie4900

Weka maudhui :

nyumba inapangishwa eneo la mtanda manisipaa ya Lindi ina vyumba viwili vya kulala vyote ni master bedroom vikubwa,sebule,dining,jiko na stoo 2 na ina madhari zuri ya kisasa.Eneo la uwanja ni zaidi ya hekari moja ,maji, umeme na ulinzi vipo. bei inazungumzika

Njia za Usalama kwa wanunuzi

  • Fanya makubaliano ya kibiashara na mkutane sehemu ya watu wengi na unayoijua
  • Usilipie bidhaa yoyote kabla ya kuangalia ubora wake na ufanisi wake
  • Usifanye malipo yoyote kupitia tigopesa,mpesa,airtelmoney au western union
  • Kuwa makini na bei zisizo za kawaida
  • Usitoe taarifa zako za kibenki

Timu yetu inapitia kila tangazo kwa ajili yako ili kuhakikisha usalama kwenye tovuti.

Bidhaa gani unayo ya kuuza?

Uza kila kitu bure kupitia Jumia Deals.co.tz

Weka tangazo lako bure kuanzia sasa!
Tunasindika taarifa