1992 Subaru Legacy Station Wagon

1992 Subaru Legacy Station Wagon - Tanzania
1992 Subaru Legacy Station Wagon - Tanzania
1992 Subaru Legacy Station Wagon - Tanzania
  • 1992 Subaru Legacy Station Wagon - Tanzania
  • 1992 Subaru Legacy Station Wagon - Tanzania
  • 1992 Subaru Legacy Station Wagon - Tanzania

MarqueSubaru

ModèleLegacy

Transmissionmanual

Carburantpetrol

Année1992

Kilométrage154700

Weka maudhui :

Kizazi cha kwanza cha Legacy, hii ni station wagon inatumia engine ambayo ni 2.2 litres na inatumia lita moja kwa KM 18 ukiwa katikati ya mji kwenye mafoleni na 21 KM ukiwa highway ama safari, gari hii haijawahi kupata ajali na haina tatizo lolote la kiufundi, isipokuwa haina radio tu. Hata matairi unaweza kutumia mwaka mmoja, njoo na fundi wako tufanye test drive

Vidokezi vyetu vya usalama

  • Matangazo yaliyo na neno "Duka" yametolewa na Jumia Deals.
  • Epuka kulipa chochote kabla ya kuonyeshwa bidhaa
  • Epuka kutuma pesa kwa njia zisizofuatilika kama vile Western Union au Pesa za Simu
  • Tazama kabisa unachokinunua, uhakikishe kuwa liko katika hali iliyotajwa kwenye tangazo
  • Kama muuzaji hana duka, kutane naye mahali pa umma (Mall, kituo cha gesi, mahali pa kazi ...)
  • Usipatiane maelezo yoyote ya kibinafsi (maelezo ya benki, nambari za kadi ya mkopo ...).
  • Jihadhari na bei zisizoaminika kuwa za ukweli.

Bidhaa gani unayo ya kuuza?

Uza kila kitu bure kupitia Jumia Deals.co.tz

Weka tangazo lako bure kuanzia sasa!
Tunasindika taarifa