Pamojafrika Music Center

Pamojafrika Music Center - Tanzania
  • Pamojafrika Music Center - Tanzania
Description :

Pamojafrika Music Center

Kwa yeyote ambaye atahitaji vyombo vya muziki kwa ajili ya shughuli mbalimbali kama; mikutano, live Bands, makongamano, semina, harusi, send off, kitchen party, ubarikio, ubatizo, misiba na shughuli nyingine mbalimbali tunapenda kuwafahamisha kwamba tunavyo vyombo kwa ajili yenu.
Vyombo vyetu ni bora na vya kisasa ni tofauti na vyombo vingine.
Ni vyombo ambavyo vimekamilika kuanzia;
MIXER 32 channels, MIXER 24 channels, MIXER 12 channels,
SPEAKER za kila aina kama; MACKY, VEGAL, JBL, PEAVEY,FIDEK,
MONITOR SPEAKERS kama; Roland, Kustom, Marshal,Fender na nyingine nyingi.
DRUMS za kila aina kama; Pearl drum, electronic drum, CB drum.
GUITARS; Bass 6 strings, bass 5 strings, rhythm guitars, solo guitars, acoustic guitars.
BOOSTER za kila aina kama; CROWN, VEGAL, PEAVEY.
Microphones za aina zote kama wireless na za kawaida zote za kisasa. KEYBOARDS za kisasa kama; YAMAHA FX8 na vingine.
PROJECTOR za kila aina.
Vyombo vyetu tunatoa kwa bei rahisi ukilinganisha na watu wengine na pia tunapenda kuwahakikishia wateja wetu kua endapo vyombo vyetu vitaleta usumbufu tutarudisha pesa. Tuko tayari kufika sehemu yoyote ile ndani na nje ya Tanzania.
Kwa wakazi wa Dar es Salaam tunapatikana Mbezi beach (tank bovu)

Kwa mawasiliano zaidi;

Our safety tips

  • Listings with a "Shop" tag means that the publisher was curated by Jumia Deals.
  • At all costs, avoid paying before seeing the item.
  • Avoid sending money through untraceable methods such as Western Union or Mobile Money.
  • Thoroughly check the item to make sure it's matches the assumed condition.
  • If the seller doesn't have a shop, meet with him in a public place (Mall, Gas station, workplace ...).
  • Do not give personal details (bank details, credit card numbers ...).
  • Beware of offers that are too good to be true.

What do you have to sell?

Sell everything for free on deals.jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data