Movie, Music Editor

Movie, Music Editor  - Tanzania
Movie, Music Editor  - Tanzania
  • Movie, Music Editor  - Tanzania
  • Movie, Music Editor  - Tanzania
Description :

Natafuta kazi yeyote ya mtandaoni/part time/freelancer inayohusiana na masuala ya IT au MEDIA. Pia nina ujuzi mkubwa wa utunzi wa nyimbo za aina zote Gospel/Bongo fleva/Bolingo/Singeli na unaamua nikutungie kwa lugha ipi kati ya kiingereza au kishwahili, naedit movie za bongo, natengeneza logo za kampuni, natengeneza blog/website, natengeneza application za simu, nadesign cover za vitabu na mengine mengi. Wasiliana nami kwa kazi yako unaweza kuonana na mimi kwa kufika ninapoishi kwasababu sina ofisi kwa sasa, bei ni nzuri.. Bei niliyoweka hapo juu ni yule atakaetaka kuniajiri kama freelancer na kunilipa kwa siku.

Our safety tips

  • Jumia Deals cannot guarantee content published by individuals.

What do you have to sell?

Sell everything for free on deals.jumia.co.tz!

Post a Free Ad Now!
Processing data